Ufugaji wa nguruwe смотреть последние обновления за сегодня на .
UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE. Utangulizi Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara. NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFATAYO 1 . Bada imara na rafiki kwake 2. Usafi ni muhimu sana katika bada la Nguruwe 3 Mchaganyo bora wa chakula 4. Tiba bora na kinga 5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake ) KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA. Katika ufugaji wa nguruwe kunachagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza idadi ya nguruwe wazima wa kuuzwa lakini utunzaji mzuri wa nguruwe wachanga huepusha vifo vinavyotokana na shida kama: Matatizo ya kupumua Ni kifo kinachosababishwa na mama anapomlalia nguruwe mchanga.chagamoto hii inaweza kutatuliwa kwa kuwatega au kuwa na mabanda makubwa ya kulelea watoto. Baridi Nguruwe wachanga huathiriwa na baridi haswa katika majuma mawili au matatu ya mwanzo. Hii ni kwa kuwa wana kiwango kidogo cha utando wa mafuta wa kuwakinga. Unashuriwa kuwaweka katika hali ya joto, wape matandiko na utumie vipasha joto kama vile kuasha globu za joto kama utakuwa umewaweka kwenye mabada ya kuta au nyumba yenye sakafu baridi. Namna bora utunzaji wa nguruwe wachanga Nguruwe moja wa kike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga: 1.Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini 5% kwenye kovu ili kuzuia kuambukizwa kwa magonjwa. 2.Wawekee matandiko (nyasi kavu au maganda ya miti) mahali pa mapumziko ili wapate joto au utumie globu za joto. 3Wadunge sindano ya madini ya chuma (iron) siku ya tatubaada ya kuzaliwa ili kuzuia upungufu wa damu. 3. Yalainishe meno ya vichaga kabla ya masaa 24 ili kuzuia uharibifu wa matiti wakati wanaponyonya. 4. Watie vibandiko au utoboe masikio ili uwatambue na uhifadhi rekodi zao kama kuna umuhimu kama vile wafanyavyo wafugaji wa ng’ombe. 5. Wapime uzani wanapozaliwa na uhifadhi rekodi hiyo itakusaidia kujua ukuaji wao na maendeleo yao 6. Wahasi wale wa kiume juma la tatu, wale ambao hawafai katika kuendeleza kizazi kwa kutumia mtindo wazi (open method) kama unaona inafaa. 7. Wapatie dawa ya kuzuia minyoo pia zipo dawa za asili kama unga wa mkaa na majivu pia zipo za kitaalamu, wasiliana na wataalamu wa mifugo 8.Waachishe kunyonya katika juma la nane au wafikapo kilo 14 hadi 20 hii itasaidia kujitegemea na kukua kwa haraka. Nguruwe Walioachishwa Kunyonya 1.Walioachishwa kunyonya wawekwe makundi ya 10 hadi 12 kulingana na uzito au ukubwa wao kwenye eneo ambalo watajitosheleza. 2.Watenganishe wakubwa kwa wadogo ili kuzuia kupigana. 3.Wakati wa kuwaachisha kunyonya mwondoe mama yao kutoka kwa watoto ili kupunguza usumbufu. 4Watoto wa nguruwe wa mama tofauti wasiwekwe pamoja maana hii husababisha mapigano kati yao na 5.Unapowachanganya watoto wa mama tofauti wapake mafuta ya gari yaliyotumika kwenye ngozi yao au mafuta ya kula ili kuiondoa harufu ya kutambulika ili wasipigane FAIDA YA UFUGAJI WA NGURUWE Faida kuu ya nguruwe ni zao la chakula lakini pia ni zao la kukuongezea kipato ukiwa kama mjasirimali / mfanyabiashara. Lengo langu nikueleza namna unavyoweza kufuga na kutupa faida, Steps zifatazo ni muhimu kuzigatia.
UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE. Utangulizi Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara. NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFATAYO 1 . Bada imara na rafiki kwake 2. Usafi ni muhimu sana katika bada la Nguruwe 3 Mchaganyo bora wa chakula 4. Tiba bora na kinga 5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake ) KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA. Katika ufugaji wa nguruwe kunachagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza idadi ya nguruwe wazima wa kuuzwa lakini utunzaji mzuri wa nguruwe wachanga huepusha vifo vinavyotokana na shida kama: Matatizo ya kupumua Ni kifo kinachosababishwa na mama anapomlalia nguruwe mchanga.chagamoto hii inaweza kutatuliwa kwa kuwatega au kuwa na mabanda makubwa ya kulelea watoto. Baridi Nguruwe wachanga huathiriwa na baridi haswa katika majuma mawili au matatu ya mwanzo. Hii ni kwa kuwa wana kiwango kidogo cha utando wa mafuta wa kuwakinga. Unashuriwa kuwaweka katika hali ya joto, wape matandiko na utumie vipasha joto kama vile kuasha globu za joto kama utakuwa umewaweka kwenye mabada ya kuta au nyumba yenye sakafu baridi. Namna bora utunzaji wa nguruwe wachanga Nguruwe moja wa kike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga: 1.Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini 5% kwenye kovu ili kuzuia kuambukizwa kwa magonjwa. 2.Wawekee matandiko (nyasi kavu au maganda ya miti) mahali pa mapumziko ili wapate joto au utumie globu za joto. 3Wadunge sindano ya madini ya chuma (iron) siku ya tatubaada ya kuzaliwa ili kuzuia upungufu wa damu. 3. Yalainishe meno ya vichaga kabla ya masaa 24 ili kuzuia uharibifu wa matiti wakati wanaponyonya. 4. Watie vibandiko au utoboe masikio ili uwatambue na uhifadhi rekodi zao kama kuna umuhimu kama vile wafanyavyo wafugaji wa ng’ombe. 5. Wapime uzani wanapozaliwa na uhifadhi rekodi hiyo itakusaidia kujua ukuaji wao na maendeleo yao 6. Wahasi wale wa kiume juma la tatu, wale ambao hawafai katika kuendeleza kizazi kwa kutumia mtindo wazi (open method) kama unaona inafaa. 7. Wapatie dawa ya kuzuia minyoo pia zipo dawa za asili kama unga wa mkaa na majivu pia zipo za kitaalamu, wasiliana na wataalamu wa mifugo 8.Waachishe kunyonya katika juma la nane au wafikapo kilo 14 hadi 20 hii itasaidia kujitegemea na kukua kwa haraka. Nguruwe Walioachishwa Kunyonya 1.Walioachishwa kunyonya wawekwe makundi ya 10 hadi 12 kulingana na uzito au ukubwa wao kwenye eneo ambalo watajitosheleza. 2.Watenganishe wakubwa kwa wadogo ili kuzuia kupigana. 3.Wakati wa kuwaachisha kunyonya mwondoe mama yao kutoka kwa watoto ili kupunguza usumbufu. 4Watoto wa nguruwe wa mama tofauti wasiwekwe pamoja maana hii husababisha mapigano kati yao na 5.Unapowachanganya watoto wa mama tofauti wapake mafuta ya gari yaliyotumika kwenye ngozi yao au mafuta ya kula ili kuiondoa harufu ya kutambulika ili wasipigane FAIDA YA UFUGAJI WA NGURUWE Faida kuu ya nguruwe ni zao la chakula lakini pia ni zao la kukuongezea kipato ukiwa kama mjasirimali / mfanyabiashara. Lengo langu nikueleza namna unavyoweza kufuga na kutupa faida, Steps zifatazo ni muhimu kuzigatia. #mkulimasmart #shambadarasa ufugaji wa nguruwe pdf malafyale ufugaji wa nguruwe ufugaji wa nguruwe jamii forum ufugaji wa nguruwe morogoro ufugaji wa nguruwe kwa mtaji mdogo pdf ufugaji wa nguruwe tanzania ufugaji wa nguruwe na soko lake
Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa. Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote! Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA! Star TV Brightens Your Day !
Tukiwa mbeya kwa mfugaji mmoja huko Isesya tukitoa elimu juu ya ufugaji wa nguruwe tufatilie ujifunze mengi kuhusu nguruwe na umsikilize mfugaji akitoa shuhuda zake juu ya ufugaji wa nguruwe.
#Subsribe #UfugajiWaNguruwe
#ShambaDarasa #Nguruwe
🤍 🤍 🤍 Young Millionaire Making Money From Pig Farming. Profitable Pig Farming.
Nenepesha nguruwe wako kwa kuwapa mchanganyiko wa vyakula hivi #nguruwe 👉Kujifunza jinsi ya kulea vitoto vya nguruwe👇 🤍
Watoto wengi husumbuliwa na kuharisha hasa wakiwa na umri kuanzia mwezi 1-2 baada ya kuachishwa kunyonya,hvyo video hii inafundisha nini cha kufanya ili uweze kuwaokoa na tatizo hilo pia vifo vinavyoweza kutokana na kuharisha,usisahau kusubscribe channel yetu hii na kushare pua kulike na kucoment video hii,ili uendelee kupata taarifa n vipindi mbalilimbali subscribe na bonyeza kengele hapo kwenye chanel yetu ahsante
#UfugajiWaNguruwe Fahamu gharama na faida za kufuga nguruwe 10 Ndani ya Mwaka Mmoja 🤍malafyalepigfarms9144 🤍LabaanShabaan 🤍tatesa 🤍MbeyaYetuOnlineTV1 🤍mbawizomaarifatv.6970 - CONTACT US EMAIL: RUBABAIMANI🤍GMAIL.COM PHONE: +255(0) 764148221 SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
Haya ni maarifa ya ufugaji nguluwe kwa tija kibiashara,hii video inakuelekeza jinsi ya kufuga nguluwe kibiashara kwa kufahamu vyakula na virutubisho mbalimbali vya kumkuza haraka.Pia utapata kufahamu ujenzi wa banda bora na imara kwa ukuaji salama.
Playlist zetu mbalimbali SHAMBADARASA Jifunze Mengi kuhusu kilimo na ufugaji Bora👇 🤍 UFUGAJI WA MENDE Jifunze kwa kina Kuhusu ufugaji wa mende👇 🤍 UFUGAJI WA NGURUWE KIBIASHARA jifunze ufugaji wa Nguruwe kibiashara👇 🤍 UFUGAJI WA KUKU WA ASILI KIBIASHARA👇 🤍 MAFUNZO YA UJASILIAMARI 👇 🤍 SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI #ShambaDarasa For Business & Enquires Website: 🤍 Email: rubabaimani🤍gmail.com Instagram: 🤍RubabaMedia Phone: +255764148221
NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFATAYO 1 . Bada imara na rafiki kwake 2. Usafi ni muhimu sana katika bada la Nguruwe 3 Mchaganyo bora wa chakula 4. Tiba bora na kinga 5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake ) KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA. Katika ufugaji wa nguruwe kunachagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza idadi ya nguruwe wazima wa kuuzwa lakini utunzaji mzuri wa nguruwe wachanga huepusha vifo vinavyotokana na shida kama: Matatizo ya kupumua Ni kifo kinachosababishwa na mama anapomlalia nguruwe mchanga.chagamoto hii inaweza kutatuliwa kwa kuwatega au kuwa na mabanda makubwa ya kulelea watoto. Baridi Nguruwe wachanga huathiriwa na baridi haswa katika majuma mawili au matatu ya mwanzo. Hii ni kwa kuwa wana kiwango kidogo cha utando wa mafuta wa kuwakinga. Unashuriwa kuwaweka katika hali ya joto, wape matandiko na utumie vipasha joto kama vile kuasha globu za joto kama utakuwa umewaweka kwenye mabada ya kuta au nyumba yenye sakafu baridi. Namna bora utunzaji wa nguruwe wachanga Nguruwe moja wa kike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga: 1.Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini 5% kwenye kovu ili kuzuia kuambukizwa kwa magonjwa. 2.Wawekee matandiko (nyasi kavu au maganda ya miti) mahali pa mapumziko ili wapate joto au utumie globu za joto. 3Wadunge sindano ya madini ya chuma (iron) siku ya tatubaada ya kuzaliwa ili kuzuia upungufu wa damu. 3. Yalainishe meno ya vichaga kabla ya masaa 24 ili kuzuia uharibifu wa matiti wakati wanaponyonya. 4. Watie vibandiko au utoboe masikio ili uwatambue na uhifadhi rekodi zao kama kuna umuhimu kama vile wafanyavyo wafugaji wa ng’ombe. 5. Wapime uzani wanapozaliwa na uhifadhi rekodi hiyo itakusaidia kujua ukuaji wao na maendeleo yao 6. Wahasi wale wa kiume juma la tatu, wale ambao hawafai katika kuendeleza kizazi kwa kutumia mtindo wazi (open method) kama unaona inafaa. 7. Wapatie dawa ya kuzuia minyoo pia zipo dawa za asili kama unga wa mkaa na majivu pia zipo za kitaalamu, wasiliana na wataalamu wa mifugo 8.Waachishe kunyonya katika juma la nane au wafikapo kilo 14 hadi 20 hii itasaidia kujitegemea na kukua kwa haraka. Nguruwe Walioachishwa Kunyonya 1.Walioachishwa kunyonya wawekwe makundi ya 10 hadi 12 kulingana na uzito au ukubwa wao kwenye eneo ambalo watajitosheleza. 2.Watenganishe wakubwa kwa wadogo ili kuzuia kupigana. 3.Wakati wa kuwaachisha kunyonya mwondoe mama yao kutoka kwa watoto ili kupunguza usumbufu. 4Watoto wa nguruwe wa mama tofauti wasiwekwe pamoja maana hii husababisha mapigano kati yao na 5.Unapowachanganya watoto wa mama tofauti wapake mafuta ya gari yaliyotumika kwenye ngozi yao au mafuta ya kula ili kuiondoa harufu ya kutambulika ili wasipigane FAIDA YA UFUGAJI WA NGURUWE Faida kuu ya nguruwe ni zao la chakula lakini pia ni zao la kukuongezea kipato ukiwa kama mjasirimali / mfanyabiashara. Lengo langu nikueleza namna unavyoweza kufuga na kutupa faida, Steps zifatazo ni muhimu kuzigatia. ufugaji wa nguruwe sua pdf vitabu vya ufugaji wa nguruwe pdf ufugaji wa nguruwe na soko lake ufugaji wa nguruwe mbeya ufugaji wa nguruwe whatsapp ufugaji wa nguruwe kwa tija ufugaji wa nguruwe dar es salaam ufugaji wa nguruwe video #mkulimasmart #shambadarasa
Nguruwe anafaa kujengewa nyumba mwafaka, uwe na mifereji ya maji na chakula bora chenye lishe ya kutosha kila siku. Iwapo unajitengezea chakula chako cha nguruwe, unaweza wachanganyia mdudu huyu aitwaye 'cricket' kwa protini zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Find us on Facebook: 🤍 Check our website: 🤍 #Pig #MkulimaKBC
🤍 🤍 🤍
Tazama kufahamu Kati ya ufugaji wa kuku na ufugaji wa nguruwe je ni upi upi unafaida? Bofya subscribe kua wakwanza kupata elimu Bora kila siku. #Ufugaji #Nguruwe #kuku Wasiliana nasi Phone: +255764148221 Email: rubabaimani🤍gmail.com Instagram: 🤍 🤍
HUU NDIO UKWELI: Unaweza kua MILLIONEA kwa kufuga Nguruwe pekee, A-Z Ninichakufanya Hili ni swali ambalo unaweza kua unajiuliza, na jibu lake ni ndio kwa sababu wewe hauta kua wa kwanza. Inawezekanaje na nitafanyeje ? Tazama video, subscribe na bofya kwengele kujifunza mengi na kupata updates za video zetu. Mjulishe na mwenzako na yeye ajifunze. Endapo ukiamua kufuga nguruwe kitaalamu ni jambo lisilofichika lazime mradi wako uwe wenye tija. Ninapo sema kufuga kitaalamu inamaana kufata kanuni na masharti ya ufugaji bora wa nguruwe. Huu ndio msingi wa mafanikio katika ufugaji wowote ule ulioendelea. Inamaana uwe na mbegu bora, banda bora na safi, chakula bora na chakutosha, chanjo na tiba kwa wakati, ulinzi, elimu ya ufugaji, nguvu kazi ya kutosha, ufatiliaji wa karibu na vifaa vyote vinavyoitajika. na mpango mkakati mzuri wa namna ya unayotaka kufanya kufanya ufugjaji huo. kwa sababu tunafahamu ufugaji hasa wa nguruwe ni uwekezaji ambao unaitaji muda kuanza kukupatia faida. Hivyo ni lazima uwe na mkakati mzuri utakao kusaidia kupata faida ndani ya muda unaostahili. Hivyo vyote kwa ujumla vitakusaidia wewem mfugaji kupunguza gharama za ufugaji na kupata matokeo mapema, kwa sababu kila kitu kinafanywa kwa usahii. tuchukulie mfano endapo umenunua nguruwe bora majike wakubwa mawili ukaamua kufuga kitaalamu. ukiwapandisha ndani ya miezi michache watakua wakupatia watoto, na tuchukulie mfano kila mmoja amezaawatoto kumi. Inamaana ndani ya mwaka mmoja utakua na zaidi ya nguruwe 20 na sio wawili tena. na kama tunavyofahamu kwamba kunahitaji na uhaba wa nguruwe bora, hviyo ukiamu kuuza baadhi ya nguruwe unaweza kupata pesa nzuri kuendeleza mradi wako na kutengeneza faida ya kutosha. huo ni mfano tu ambao unaweza kukuonesha kwamba ufugaji wa nguruwe unaweza kukupatia pesa ya kutosha. #Ufugaji #Nguruwe - CONTACT US EMAIL: RUBABAIMANI🤍GMAIL.COM PHONE: +255(0) 764148221 SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
#Ufugaji #Nguruwe CONTACT US EMAIL: RUBABAIMANI🤍GMAIL.COM PHONE: +255(0) 764148221 SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
Huu Ni muendeleze wa somo letu, na Leo tutazungumzia, mfumo sahihi unaofaa kufuga Nguruwe kibiashara. je Ni Mfumo upi? Tazama video na Subscribe Playlist za video zetu mbalimbali SHAMBADARASA Jifunze Mengi kuhusu kilimo na ufugaji Bora👇 🤍 FAHAMU KUHUSU Fahamu mambo mengi usiyo yafahamu hapa duniani na nje ya Dunia👇 🤍 UFUGAJI WA NGURUWE KIBIASHARA jifunze ufugaji wa Nguruwe kibiashara👇 🤍 SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI #UfugajiWaNguruweKibiashara #Ep2 _ For Business and Enquires contact Email: rubabaimani🤍gmail.com phone: +255764148221
Uchanganyaji wa chakula cha nguruwe ni muhimu kuzingatia viini lishe muhimu. Virutubisho hivyo ni pamoja na Wanga, PROTINI, vitamin, madini na maji #ufugajinguruwe #chakulachanguruwe 👉Jifunze zaidi kuhusu uleaji wa vitoto vya nguruwe Kupitia 🤍
Promo Online TV imefanya mazungumzo na Mr Nyoni ambaye anaelezea aina ya mbegu za Nguruwe wanazouza kwa bei nafuu kabisa
Mfugaji wa Nguruwe akielezea namna alivyonufaika kupitia ufugaji wa kisasa wa nguruwe Pia anaeleza faida za kutumia teknolojia ya Uhimilishaji(Artificial Insemination)kwa nguruwe na anashari wafugaji kubadilika na kwenda na Teknolojia mpya ili kupata faida kwenye ufugaji wao. Endelea kutufatilia kupitia channeli yetu ya PANICUM TZ uendelee kupata masomo mbalimbali juu ya ufugaji wa nguruwe na wanyama wengine Mawasiliano. 0627898874 0657862207
UFUGAJI UNA MAMBO MENGI SANA TUNAYOJIFUNZA KWENYE HII BIASHARA.
✍️Mambo muhimu yakuzingatia wakati wa uleaji wa vitoto vya nguruwe. 🤍 👉Joto 👉Maziwa 👉Madini ya chuma(Iron) 👉Kukata meno 👉Kuhasi ✍️Mambo ayo yote ni vizuri kuyatimiza mapema nguruwe wanapokua wadogo ndani ya umri wa miezi 2
Fahamu biashara ya Nguruwe inavyoendeshwa na masoko yake jifunze utengeneze hela!!
#Ufugaji #Nguruwe CONTACT US EMAIL: RUBABAIMANI🤍GMAIL.COM PHONE: +255(0) 764148221 SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
Banda za nguruwe Yasiyo na harufu
Utangulizi Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara. NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFATAYO 1 . Bada imara na rafiki kwake 2. Usafi ni muhimu sana katika bada la Nguruwe 3 Mchaganyo bora wa chakula 4. Tiba bora na kinga 5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake ) #mkulimasmart #shambadarasa KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA. Katika ufugaji wa nguruwe kunachagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza idadi ya nguruwe wazima wa kuuzwa lakini utunzaji mzuri wa nguruwe wachanga huepusha vifo vinavyotokana na shida kama: Matatizo ya kupumua Ni kifo kinachosababishwa na mama anapomlalia nguruwe mchanga.chagamoto hii inaweza kutatuliwa kwa kuwatega au kuwa na mabanda makubwa ya kulelea watoto. Baridi Nguruwe wachanga huathiriwa na baridi haswa katika majuma mawili au matatu ya mwanzo. Hii ni kwa kuwa wana kiwango kidogo cha utando wa mafuta wa kuwakinga. Unashuriwa kuwaweka katika hali ya joto, wape matandiko na utumie vipasha joto kama vile kuasha globu za joto kama utakuwa umewaweka kwenye mabada ya kuta au nyumba yenye sakafu baridi. Namna bora utunzaji wa nguruwe wachanga Nguruwe moja wa kike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga: 1.Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini 5% kwenye kovu ili kuzuia kuambukizwa kwa magonjwa. 2.Wawekee matandiko (nyasi kavu au maganda ya miti) mahali pa mapumziko ili wapate joto au utumie globu za joto. 3Wadunge sindano ya madini ya chuma (iron) siku ya tatubaada ya kuzaliwa ili kuzuia upungufu wa damu. 3. Yalainishe meno ya vichaga kabla ya masaa 24 ili kuzuia uharibifu wa matiti wakati wanaponyonya. 4. Watie vibandiko au utoboe masikio ili uwatambue na uhifadhi rekodi zao kama kuna umuhimu kama vile wafanyavyo wafugaji wa ng’ombe. 5. Wapime uzani wanapozaliwa na uhifadhi rekodi hiyo itakusaidia kujua ukuaji wao na maendeleo yao 6. Wahasi wale wa kiume juma la tatu, wale ambao hawafai katika kuendeleza kizazi kwa kutumia mtindo wazi (open method) kama unaona inafaa. 7. Wapatie dawa ya kuzuia minyoo pia zipo dawa za asili kama unga wa mkaa na majivu pia zipo za kitaalamu, wasiliana na wataalamu wa mifugo 8.Waachishe kunyonya katika juma la nane au wafikapo kilo 14 hadi 20 hii itasaidia kujitegemea na kukua kwa haraka. Nguruwe Walioachishwa Kunyonya 1.Walioachishwa kunyonya wawekwe makundi ya 10 hadi 12 kulingana na uzito au ukubwa wao kwenye eneo ambalo watajitosheleza. 2.Watenganishe wakubwa kwa wadogo ili kuzuia kupigana. 3.Wakati wa kuwaachisha kunyonya mwondoe mama yao kutoka kwa watoto ili kupunguza usumbufu. 4Watoto wa nguruwe wa mama tofauti wasiwekwe pamoja maana hii husababisha mapigano kati yao na 5.Unapowachanganya watoto wa mama tofauti wapake mafuta ya gari yaliyotumika kwenye ngozi yao au mafuta ya kula ili kuiondoa harufu ya kutambulika ili wasipigane FAIDA YA UFUGAJI WA NGURUWE Faida kuu ya nguruwe ni zao la chakula lakini pia ni zao la kukuongezea kipato ukiwa kama mjasirimali / mfanyabiashara. FAIDA YA UFUGAJI KUKU NA NGURUWE KWENYE SHAMBA MOJA MERU NJIA KUU TANO ZA UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA UFUGAJI BORA WA NGURUWE UFUGAJI WA NGURUWE KIBIASHARA:FAHAMU CHAKULA BORA ... UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE. UFUGAJI BORA WA NGURUWE – MKULIMA MJASIRIAMALI ELIMU YA UJASILIAMALI JUU YA UFUGAJI WA NGURUWE UFUGAJI BORA WA NGURUWE UFUGAJI BORA WA NGURUWE - TANZANIA NA KILIMO FUGA KIBIASHARA: UFUGAJI NGURUWE UFUGAJI WA NGURUWE : GHARAMA NA FAIDA ZAKE UFUGAJI WA NGURUWE SUA PDF VITABU VYA UFUGAJI WA NGURUWE PDF
#ShambaDarasa #UfugajiWaNguruwe
Zingatia haya kabla ya kufuga nguruwe.
Kwenye makala yetu ya Kilimo Biashara wiki hii, Denis Otieno anaangazia mfumo na faida ya ufugaji kuku na nguruwe kwa shamba moja akimuangazia mkulima mmoja katika kaunti ya Meru.
Tumemtembelea mfugaji kwa lengo la kumpatia ushaurI na usaidizi wa kitaalamiu kuhusu ufugaji wa nguruwe na pia kuandaa ramani ya mabanda bora la nguruwe. Tazama video kujifunza na wasiliana nasi kwa usaidizi zaidi kupitia mawasiliano yetu chini. CONTACT US EMAIL: RUBABAIMANI🤍GMAIL.COM PHONE: +255(0) 764148221 SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI 🤍malafyalepigfarms9144 🤍LabaanShabaan 🤍MbeyaYetuOnlineTV1 🤍tatesa 🤍mbawizomaarifatv.6970